iqna

IQNA

wasomaji maarufu wa qurani tukufu
Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /29
TEHRAN (IQNA) - Kunaweza kuwa na makari wachache sana kama Sheikh Shaban Abdul Aziz Sayyad katika suala la ufasaha, uwezo wa sauti, na kufahamiana na Sawt, Lahn na Maqamat ya Qur'ani.
Habari ID: 3476695    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/12

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /28
TEHRAN (IQNA)- Alikuwa shakhsia mkubwa wa ulimwengu wa Kiislamu ambaye alianzisha mitindo mbalimbali ya usomaji wa Qur'ani Tukufu. Sauti yake nzuri na ustadi wake wa kutamka maneno kwa usahihi na kwa nguvu uliwasaidia wasikilizaji kuelewa maana ya mistari aliyokariri.
Habari ID: 3476596    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/21

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /27
TEHRAN (IQNA) – Ahmed Mohamed Amer alikuwa qari mashuhuri wa Misri ambaye alisoma Qur’ani Tukufu kwa ubora na kwa sauti maridadi hata alipokuwa na umri wa miaka 88.
Habari ID: 3476550    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/12

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /25
TEHRAN (IQNA) – Abdulaziz Ali Faraj alikuwa qari wa Kimisri ambaye aliishi zama za Ustadh Abdul Basit Abdul Samad.
Habari ID: 3476514    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/05

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /23
TEHRAN (IQNA) – Shahat Muhammad Anwar alikuwa mmoja wa wasomaji mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Misri ambaye alipata umaarufu katika umri mdogo kwa sababu ya kipaji chake katika fani hii.
Habari ID: 3476473    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/27

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /21
TEHRAN (IQNA) – Abdel Aziz Akasha alikuwa qari wa Misri ambaye alipata umaarufu baada ya kuanzisha mtindo maalum katika usomaji wa Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476457    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/24

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /21
TEHRAN (IQNA) – Ustadh Taha al-Fashni alikuwa qari maarufu wa Qur'ani Tukufu na msomaji Ibtihal nchinia Misri ambaye alikuwa na wafuasi wengi sio tu miongoni mwa Waislamu bali pia wasio Waislamu.
Habari ID: 3476452    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/23

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /20
TEHRAN (IQNA) – Ahmed al-Reziqi alikuwa qari kutoka kusini mwa Misri ambaye alishawishiwa sana na Abdul Basit Abdul Samad na Mohamed Sidiq Minshawi lakini pia alikuwa na ubunifu na weledi katika usomaji wa Qur'ani.
Habari ID: 3476440    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/21

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /17
TEHRAN (IQNA) –Ustadh Abulainain Shuaisha alijulikana kama Sheikh ul-Qurra (kiongozi wa wasomaji Qur’ani) wa Misri. Alikuwa msomaji mashuhuri wa Qur’ani na mtu wa mwisho kutoka katika ‘kizazi cha dhahabu’ cha wasomaji Qur’ani wa nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3476295    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/24

Wasomaji maarufu wa Qur'ani Tukufu / 14
TEHRAN (IQNA) - Kufuatia kanuni za kisomo au qiraa na kuzingatia uwiano na ulinganifu ni miongoni mwa sifa za bora za qiraa ya Qur'ani Tukufu ya marehemu Shahat Muhammad Anwar wa Misri.
Habari ID: 3476233    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/11

Wasomaji maarufu wa Qur'ani Tukufu / 13
TEHRAN (IQNA) – Qiraa ya Qur'ani Tutufu ya qari wa Misri marehemu Shahat Muhammad Anwar ni Hazin (yenye sauti ya huzuni) na hiyo ndiyo imependekezwa katika Hadithi.
Habari ID: 3476197    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/04

Wasomaji maarufu wa Qur'ani Tukufu / 11
TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Misri Muhammad Abdul Aziz Hassan alikuwa na umahiri wa kipekee katika ustadi wa usomaji (qiraa) Qur’ani ambapo baadhi ya wataalamu wanasema wasikilizaji wanahisi kuwa Qur’ani inateremshwa kwao wanaposikiliza kisomo cha Ustadh Hassan.
Habari ID: 3476120    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/20